Infantino : Maadhimisho hayo ni ya ajabu ... na naita ulimwengu kutembelea Misri

 Gianni Infantino, Rais wa shirikisho la kimataifa kwa mpira wa miguu  FIFA, aliyasifu  maandalizi ya Misri  kwa Tuzo za CAF za Mchezaji Bora barani Afrika 2019

 "Hali ya hewa ni nzuri, maadhimisho ni mazuri kwa Misri na kwa shirikisho la Kiafrika, na nina furaha kubwa sana kwa kuwepo kwangu hapa," Infantino alisema kwenye maelezo yake kupitia kipindi cha  "On Sport ". 

 Aliongeza kwamba asiyetembelea Misri anapaswa kuitembelea na aliyeitembelea lazima kuirudia tena, Misri ni nchi nzuri, kila kitu ni kizuri na sikuwahi kutarajia ila hivyo.

 Kwa hali yoyote, sherehe ni nzuri na hali ya hewa ni nzuri.

Comments