Sobhy anapokea Tuzo ya CAF kwa kuheshima mafanikio ya Misri katika kuandaa mataifa ya Afrika

  Shirikisho la kiafrika  kwa mpira wa miguu , iliheshima nchi ya Misri, iliyowakilishwana na Wizara ya Vijana na Michezo kwa juhudi zake kubwa katika Kuandaa na kufanikiwa kwa Mashindano ya 32 ya Mataifa ya Afrika kwa Wazee na Mataifa ya Afrika kwa Vijana U-23 katika mwaka mmoja, na msaada wake kamili kwa Mpira wa Afrika, wakati wa sherehe ya CAF.

Comments