Waziri wa michezo akutana na balozi wa Jamhuri ya Koba ili kujadiliana mahusiano mawili kati ya nchi mbili

Dokta  Ashraf sobhy  waziri  wa  vijana  na  michezo  anakutana  leo  na  Bibi  " Tania  Agear Fernandes" balozi  wa  nchi  ya  Koba  kwenye Jamhuri ya Misri   ya  Kiarabu  , na  hivyo  ili  kujadiliana  mahusiano  ya  pamoja  kati  ya  nchi  mbili  katika  sekta  ya  vijana  na  michezo  . 


Mkutano  huu  unakuja katika  mfumo  wa  wizara ya vijana  na  michezo  ili  kugundua  njia mpya  za  shirikiano  na  nchi  za  ulimwengu  zote  ili  kupata  faida ya  maendeleo  yanayokabilia  dunia  katika  pande  mbili  vijana  na  michezo   . Vilevile  , kuenedana  ujuzi  unaolenga  kutekeleza  manufaa  ya  juu  kutoka  majarabio  ya  dunia  yanayofaulu  .


 Na  pande  mbili  zilichukua  utafiti  wa  kusaini  mkataba  wa  maelewano kati ya wizara  na  chuo  cha  kitaifa  kwa  michezo  na mafunzo ya  kimwili  na viburudisho katika  Jamhuri  ya  Koba  


Katika  upande  huo huo , Waziri wa  michezo  alisema  kuwa  sisi  tunalenga  kuimarisha  na  kutoa  msaada  kwa  shirikiano la  kiufundi  katika  sekta  za  mafunzo  ya  kimwili  na  michezo  ,akisisitiza  kuwa  ushirikiano  huu utashiriki  katika  kubadilishana  wajumbe  ,  kocha na  wataalamu  katika kiwango  cha  michezo  .


Sobhy aliongeza  kuwa  ushirikiano  utajumuisha  pia  ziara  kwa  viongozi  , kocha wakuu katika  sekta  ya  usimamizi  wa  michezo  na kuhukumu  na  kufanya  mazoezi  kutokana  na  vigezo  na  miundo  ya  usimamizi  mpya  ili  kupata  manufaa  ya  majaribio  ya  nchi  mbili  katika  sekta  huu  . 

Waziri  wa  michezo  akiashiria  kuwa  mkataba  wa  maelewano  utajumuisha  kufanaya  warsha  wa  pamoja  kukusu  maudhui  ya  " usimamizi  wa  michezo  mpya  unaokusanya  usimamizi  wa mizozo , matatizo  na majaribio ya  ufanisi katika  kupambana  na  fujo  ya  viwanja  , haki za  kutangaza katika  runinga  , uwekezaji  wa  kimichezo  na  michezo ya  waelemevu  " . 


Kwa  upande  mwingine  , balozi  wa  Jamhuri  ya  koba  alitoa  shukrani  kwa  upokeaji  mzuri    , akisisitiza  kuwa  Misri   ni  nchi  muhimu zaidi  inayotarajiwa  kushirikiana  na  koba   hasa  baada  ya  maendelezo ya  kiuchumi  na  kisiasa  yanayoshuhudia  na  Misri  sasa  hivi  , akiashiria  kuwa  maendelezo  haya  yanajumuisha  sekta  ya  michezo  inayokawa  mojawapo  ya  sekta  muhimu  zaidi  ambayo  misri  inaitilia mkazo  kama  msaada  mkubwa  kwa  uchumi wa  kitaifa  . 


 " Fernades " alionesha  hamasa  kubwa  kwa  mafanikio ya  ushirikiano  huo  na   utakaojumuisha kusaini  mkataba wa  maelewano  kati  ya  chuo cha  kitaifa  cha  michezo na mafunzo ya kimwili na viburudisho vya Jamhuri ya  koba  na  wizara  ya  vijana  na  michezo ya  Kimisri. 


Dokta  Ghada Hussin  mkuu  wa  mahusiano  ya  nje  na  Rada  Saleh  mkuu  wa  mahusiano  ya     umma  katika  wizara  ya  vijana  na  michezo  walihudhuria  mkutano  .

Comments