Wanawake wa mpira wa vinyoya hupata medali ya kidhahabu ya michuano ya kiafrika mjini Kairo

Timu ya kitaifa ya kwanza kwa wanawake wa mpira wa vinyoya , ilipata medali ya kidhahabu ya mashindano ya timu kwenye michuano ya Afrika kwa wazima , iliyofanyika katika ukumbi  namba 2 kwenye  uwanja wa Kairo mnamo kipindi cha 10 mpaka 16 mwezi huu wa Februari . 


Mafarau wailipata medali ya kidhahabu na nafasi ya kwanza baada ya kuishinda timu ya MOROSHIOS kwa  2_3 .


Baraza la uongozi wa shirikisho la mchezo huo kwa uongozi wa HESHAM EL TOHAMI lilisisitiza kuhudhuria mechi na kuwasaida wachezaji katika mechi ngumu hii . 


Timu yetu ya kitaifa ilikuwa imeishinda timu ya Algeria kwa  2_3 kabla ya kuishinda  timu ya Afrika  kusini jana jioni kwa 1_4 .


Orodha ya timu yetu kwa wanawake inajumuisha  : DOHA HANY , HADYA HISNH , NOUR YOUSRY , JANA ASHRAF , HANA ZAHER na RAHMA MOHEMED .

Comments