Waziri mkuu mmisri anashuhudia mkataba wa kurudisha ukaribu wa Misri kwa makao makuu ya " CAF" kwa muda wa miaka 10

Dokta  Mostafa Madbouly  Waziri mkuu anashuhudia  shughuli  za  kusaini  mkataba  kuhusu  kurudisha  ukaribu  wa  Misri  kwa  makao  makuu  ya  shirikiano  la  Kiafrika  kwa  Soka  " CAF" mpaka  muda  wa  miaka  10 utaboresha  moja  kwa  moja  kati ya  Misri  na  shirikisho la kiafrika la sok " CAF"  ;  na  umesainiwa  na  Dokta  Ashraf  Sobhy waziri  wa  vijana  na  Michezo  , na  Ahmed  Ahmed  mkuu wa  shirikisho  la  Kiafrika  kwa Soka  

  kwa upande  wake , Dokta  Ashraf  Sobhy waziri  wa  vijana  na  michezo  aliashiria kuwa  mkataba  uliosainiwa leo  unakuja  kama  badala kwa  mkataba  uliotangulia  ambao ulisainiwa  kati ya  pande  mbili  mnamo mwezi  wa  Novemba  2007 akiongeza  kuwa  baada  ya kumalizika   mkataba  uliotangulia  ,  CAF ilitoa  ombi  la  kusaini  mkataba  wa  makao  mapya  .


Alifafanua  kuwa  chini  ya utashi  wa  serikali  ya  Kimisri  juu  ya  kuendelea kutoa  msaada  kwa  shughuli  za  CAf  na  juhudi  zake   na  hivyo  ili kurahisisha  kazi  yake  ili kuendeleza  , kutangaza  na  kuboresha  umaarufu  wa  Soka  barani Afrika  , ambapo  imeshakubaliwa  kukaribisha  makao  makuu  ya  shirikisho  la  Afrika  kwa Soka  mpaka  muda  wa  miaka  10  unaongezeka  moja  kwa  moja  , akifafanua  kuwa  wizara  ya  vijana  na  michezo  , kifedha  , nje  na  taasisi nyingine husika  za kiserikali  , tangu  mwaka  wa 2017 zimechukua kufanya  utaratibu  wa  dharura  ili  kusaini  mkataba  mpya  kutokana  na  ombi  la  CAF kama   maandalizi  ya  kimataifa  ya  binafsi  " siyo  ya  serikali  " makao  makuu  yake  ni  Misri  kwa  ajili  kuongeza  baadhi  ya  faida  kwa  makao  ya  CAF na  kwa  jukumu  la  kurahisisha  na  kuwezesha  mambo  ya  kazi  katika  shirikisho  la  kiafrika  kwa Soka  ndani  ya  Misri  . 


Kutokana  ma  mkataba  , mamlaka  husika  zinajumuisha  kupatikana huduma  za  mahali  ili  kuhakikisha  kwamba  makao  yameongezekwa  kwa  huduma  muhimu  za  umma , miongoni  mwake  :- umeme  , maji  , usafi  wa mazingira  ,Gesi,  simu  ,Simu ya upepo , usafiri  wa  ndani  ،usafi  wa  mazingira  na  ulinzi  wa  kiraia . Vilevile  , mkataba unajumuisha kifungu  cha  makubaliano  ya  ushuru  , kodi   kinachokwepo  katika  makao  makuu  ya  Kiafrika  kwa Soka nchini  Misri  .

Comments