Cameroon ikaribisha fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika

Shirikisho la soka la kiafrika  (CAF) limetangaza rasmi kuwa Cameroon itakaribisha fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika msimu wa 2019/2020, iliyopangwa kufanyika  Mei 29 ijayo.


 Shirikisho la kiafrika lilisema kwenye Tewita kupitia akaunti yake rasmi ya Twitter kuwa Uwanja  wa Gaboma huko mjini Douala, Camerun inakaribisha  Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2019/20 siku Mei 29,"

Comments