Dokta Ashraf Sobhy anasifu juhudi za shirkisho la mchezo wa ujenzi wa mwili kwa kuendeleza mchezo

Dokta Ashraf Sobhy  waziri wa vijana na michezo alisifu juhudi tofauti  zinazotolewa kwa shirkisho la mchezo wa ujenzi wa mwili  wa kimisri kwa kueneza mchezo ,alisistiza kuwa itakuwa usaidizi wenye nguvu kwake katika harkati zote za rasmi  zinazitolewa na shirkisho katika michuano ijayo ya kitaifa na kimtaifa .


Waziri wa vijana na michezo alielezea furaha yake kwa uandaaji mzuri wa kimisri kwa michuano ya kimtaifa ya Ahmed Ali kwa Dimond Cup kwa mchezo wa ujenzi wa mwili na kukubali kutoka mabingwa wa mchezo , iliyokarbishwa kwa Misri mnamo kipindi cha 8 mpaka 10 mwezi wa Machi uliopita kwa kumbi za uwanja wa kimtaifa wa Kairo ,kwa ushirki wa mchezaji 700 zaidi na hukarbisha kwa kufanya michuano yoyote  ya kimtaifa juu ya aradhi ya Misri .


Na hiyo ilikuja kupitia mapokezi yaka kwa Dokta Rafael Santonga   Mkuu wa shirkisho la kimtaifa kwa mchezo wa ujenzi wa mwili ,Dokta Adel Fahem  mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa mchezo wa ujenzi wa mwili ,mwenyekiti wa mashirkisho mawili ya kiarabu _kiafrika ,naibu wa mwenyekiti wa shirkisho la kimtaifa ,kwa ofisi ya wizara ya vijana na michezo pamoja na mahudhurio ya Ahmed Elshamy  naibu wa mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa mchezo wa ujenzi wa mwili .


Waziri wa vijana na michezo aliongeza kuwa ninakarbisha kwa mgeni mkubwa wa Misri  Dokta Rafael Santonga  mwenyekiti wa shirkisho la kimtaifa kwa mchezo wa ujenzi wa mwili akisistiza  kuwa kuna tofauti katika mchezo kwa hivi karbuni na Misri inaandaa kwa kukarbisha tukio la kimchezo _kimtaifa mnamo kipindi kijacho .


Kwa upande wake Dokta Adel Fahem  mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa mchezo wa ujenzi wa mwili ,mwenyekiti wa mashirkisho mawili ya kiarabu _kiafrika na naibu wa mwenyekiti wa shirkisho kuwa mkutano na waziri wa vijana na michezo walisistiza kuwa kuendelea maudhui muhuimu  zinazoshughulikia mchezo wa ujenzi wa mwili .

Na jinsi ya kuendelea na kueneza msingi wa washirki  wa mchezo katika mikao tofauti ya Misri .


Waziri  kupitia kikao alisisitiza kuwa shirkisho la kimisri kwa mchezo wa ujenzi wa mwili ni mahali inayoruhusa kwa wote kutoka walioshirki mchezo na ni wa kwanza mwenye  haki ya   kuandaa  michuano ya kitaifa au kimaltaifa .

Comments