Shirikisho la kimataifa kwa Sarakasi linawachagua Mohamed Ali na Nihad Zared kwa usuluhishi huko Tokyo 2020

Shirikisho  la Kimataifa kwa Sarakasi  lilitangaza orodha ya wahusika waliochaguliwa kwa usuluhishi katika Tokyo 2020


 Na waliochaguliwa kutoka Misri Dokza Mohamed Ali  Abdel Halim, refa wa kimataifa na rais wa kamati ya kiufundi kwa Shirikisho la  kimisri  kwa Sarakasi kwa kiufundi kwa  Wanaume kwa Usuluhishi katika mashindano ya kiufundi kwa  wanaume. 


 Dokta Nihad Zayed, refa wa kimataifa na naibu wa rais wa Kamati ya kiufundi kwa Sarakasi kwa wasichana,  kwa usuluhishi wa michuano ya  kiufundi kwa wasichana huko Tokyo 2020


 Uteuzi huo hufanywa ndani ya mfumo wa kutathmini utendaji wa wahusika katika kiwango cha ulimwengu na wakati michuano ya kombe la dunia na mabingwa wa ulimwengu wakati wa kikao cha sasa kwa kuchambua utendaji wao wa usuluhishi wakati wa michuano hiyo na huchaguliwa wahusika bora katika kiwango ya ulimwengu kushiriki Olimpiki.


 Kwa upande wake, Rais wa Shirikisho la kimisri na Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki ya kimisri, Dokta Ehab Amin, alisisitiza kwamba uchaguzi wa Dokta Mohamed Ali na Dokta Nihad Zayed ni kwa sababu ya utendaji wao bora  wakati wa Kombe la Dunia na ubingwa wa ulimwengu, na wao ni alama nzuri ya heshima kwa Misri na Shirikisho la Sarakasi.


 Aliongeza kuwa michuano ya  Sarakasi ya  kiungo  kwa Olimpiki inasimamiwa kupitia kamati ya kiufundi ya Shirikisho la Kimataifa, ambalo tuliwakilishwa na Dokta Noha Abdel Wahab, naibu wa rais wa kamati ya kiufundi ya Shirikisho la Kimataifa.


 Shirikisho  la kimisri kwab Sarakasi  liliongezea shukuru  kwa wahusika baada ya kuchaguliwa kwao kwa  Olimpiki ya Tokyo 2020

Comments