Waziri wa Michezo anashuhudia makubaliano ya ushirikiano kati ya Shirikisho la kimisri kwa michezo ya kielektroniki na kampuni ya EGYGATE kwa ajili ya kujenga jukwaa na hifadhi data kwa wachezaji wa michezo ya dijiti

Dokta Ashraf Sobhy,  Waziri wa Vijana na Michezo, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya pamoja ya Shirikisho la kimisri kwa  michezo ya kielektroniki na kampuni ya EGYGATE (moja ya kampuni za sanduku ya Tahya Masr) ambayo kwa mujibu wa makubaliano na kama mshiriki wa teknolojia, inaunda maombi ya simu kwa Umoja huo na hifadhi data za wachezaji na vyombo vya pamoja katika Shirikisho nchini Misri na ushirikiano wa kuanzisha taaluma ya watengenezaji.  Michezo ya kielektroniki huko Misri.

 Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, amekaribisha makubaliano hayo, ambayo huja kama sehemu ya mchakato wa mabadiliko ya dijiti katika uwanja wa michezo wa kimisri,  na wizara inachukua miradi ya uandishi wa habari, maarufu zaidi ambayo ni miradi ya vituo vya vijana vinavyokidhi matarajio ya vijana kulingana na dhana na vifaa vya kisasa ambavyo ulimwengu unashuhudia katika mfumo wa Rais Abd El  Fatah  El-Sisi kutoa mafunzo  kwa wabuni 10,000 kwa  huduma za kielektroniki na michezo aliyoizindua katika Mkutano wa Vijana huko Sharm El-Sheikh, na kufikia uwakilishi mmisri bora  zaidi  katika vikao tofauti vya michezo ya kimataifa kupitia ugunduzi wa talanta na watu wenye uwezo mkubwa katika michezo inayovutia mamilioni wa   Vijana na wachanga.

 Kwa upande mwingine, Sherif Abd El  Baqi, Rais wa Shirikisho la kimisri kwa Michezo ya kielektroniki alithibitisha kwamba makubaliano hayo yanasaidia shirikisho hilo kufikia msingi mkubwa wa wachezaji na watendaji wa michezo ya kielektroniki katika maeneo yote na michezo pia husaidia Shirikisho katika kupitisha mipango, mashindano na mashindano ambayo hugundua wenye talanta na wanajulikana na wanaoungwa mkono na malezi ya timu za michezo za kielektroniki na kamati za watendaji katika vilabu na vituo vya vijana  Vyuo vikuu, shule, na vituo vya michezo vya kielektroniki vya kibinafsi.

 Abd El-Baqi ameongeza kuwa mnamo siku fulani , hutangaza mipango, mashindano na michuano yaliyopitishwa kwa wizara  kugundua watu wenye talanta katika michezo ya kielektroniki na wenye ubunifu katika kuunda michezo mipya ya kielektroniki inayolingana na utamaduni wa kimisri.

 Kwa upande wake, Dokta Minas Ibrahim, Mkurugenzi Mtendaji na Mjumbe wa kampuni hiyo alisema kwamba makubaliano ni muhimu kwa sababu inasaidia kufikia huduma na bidhaa za dijiti na njia za uuzaji za kielektroniki kwa vijana ambao hupeana muda na juhudi kwa mchezo wa akili  unaopendwa na kuifanya kuwa sehemu ya tasnia ya dijiti na sio mtaalamu tu kwa kupitisha maoni yake ya kutoa michezo muhimu na kuiendeleza kupitia  Mafunzo na kuongeza  ustadi .

 Minas alionyesha kuwa kozi za hali ya juu za mafunzo katika uwanja wa uuzaji wa kiutalii na kusafirisha bidhaa na huduma za kimisri zitakuwa katika huduma ya vijana wanaofanya mazoezi ya michezo ya kielektroniki na kupitia taaluma maalum kwa tasnia ya michezo ya kielektroniki inayosaidia na kusaidia wale bora na wanaotaka kushiriki katika tasnia hii ya ulimwengu.

Comments