Waziri wa michezo : Msaada na utunzaji wa utawala wa kisiasa ulikuwa msingi katika kufanikiwa kwa mkataba

Waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa makubaliano ya Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El Sisi  Rais wa Jamhuri juu ya mkataba wa makao makuu ya shirkisho la kiafrika kwa mpira wa miguu (CAF ),yanashikilia kutawazwa kwa msaada na utunzaji ambao shirika la kimchezo linauchukua nchini Misri na bara la kiafrika kutoka utawala wa kisiasa .


Dokta Ashraf Sobhy aliongeza kuwa baada ya kupitisha bunge la kimisri juu ya mkataba ilitawazwa leo kwa makubaliano ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri .


Mkataba huo unazingatia kufanya upya kwa kukarbisha  Misri kwa makao makuu ya CAF kwa muda ya miaka 10,baada ya majadiliano yaliyoendelea kwa miezi mirefu ,kwa sababu kwa mtazamo wa watu katika kuchukuza makao makuu ya taasisi kubwa zaidi ya kimchezo na kiafrika nje ya Misri ,isipokuwa msaada wa utawala wa kisiasa kwa serkali ya kimisri chini ya uongozi wa Dokta Mustafa Mdboly, Waziri mkuu ulikuwa na athari kubwa sana katika kufanikiwa na kurahisisha shida yote na kufanikwa mkataba kwa ajili ya itakuwa kwa muda ya miaka 10 na pia mawasiliano na uratibu unaoendelea kupitia wizara ya vijana na michezo na pande zote za kiafrika na kitaifa zinazohusika .


Pia  hivyo ilikuwa pamoja na mawasiliano ya kudumu na shirkisho la kitaifa kwa mpira wa miguu (FIFA) ,kwa uratibu na shirkisho la kiafrika kwa mpira wa miguu (CAF ) ,kwa kumaliza kutoka taratibu zote zinazohusiana na mkataba wa makao makuu ya CAF na kuhifadhi kuwepo kwake nchini Misri ,ikisistiza  zamu nzuri kwa Misri barani Afrika .

Comments