Wizara ya vijana na michezo yatangaza maandalizi ya mpango wa siku 30 za mashindano katika michezo isiyokweli

Wizara ya vijana na michezo inatangaza  maandilizi ya mpango  wa (siku 30 za mashindano la kimchezo isiyokweli ) ili kuhamsisha familia ya kimisri  kucheza harkati za kimchezo kutoka mahali yote inawawezesha kupitia kucheza michezo hii ,kwa ushiriki wa wana wa jamii za kimisri katika nje na hivyo kwa ushirkiano na wizara ya nchi kwa uhamiaji na masuala ya wamisri huko nje .Dokta Ashraf Sobhy , waziri wa vijana na michezo alisistiza kuwa mpango wa (siku 30 za mashindano )ni kuendelea kwa mkakati wa wizara ya vijana na michezo uliofanyika upya katika kutekeleza matukio mengi ya kimchezo na vijana  yanayotolewa kwa vijana wamisri kiasi kwamba kuna ndani ya Misri na nje yake na yanatokea kutoka mtazamo mkuu kwa nchi kwa uongozi wa Rais Abd El-Fatah El_Sisi Rais wa Jamhuri ,kutekeleza nafasi za kijamii na hatua za kitahadhari hasa kwa kuzuia kuenea virusi vipya vya Corona Covid- 19 .Washiriki wanajiunga katika mpango wa (siku 30 za mashindano ) katika matukio ya shindano kupitia kutumia kwa urahisi kwa Teknolojia ya mtandao , inayoruhusa kwa ushiriki katika wakati unaofaa kwa kila mtu na muda wake wa mapumziko , bila ya kushikilia siku au wakati fulani , au mahali  fulani kwa ushiriki , mshiriki aliyetimiza  mashindano yote ,hupata  medali na vyeti vya ushiriki , zinazotolewa kwa mahali pao pa kuishi .Wizara ya vijana na michezo ilichagua kundi la michezo kwa vijana kwa ushiriki katika (mashindano ya siku 30 ) injumuisha kukimbia _kutembea _pikipiki _kayaki _Hand Cap kwa watu wenye ulemavu maalum  na viti  vya magurdumu tu ) ,na kupitia kwake  mshiriki huteleza  harkati ya kimchezo inayotaka katika ushiriki katika muda usiozaidi siku 30 mnamo kipindi  cha Agosti Mosi hadi 30  ,kwa mujibu wa masharti ya kila mchezo yatakayotangazwa kwa Wizara ,pamoja na njia za kujiandikisha kwa ushiriki katika mashindano kupitia tovuti yake maalum .

Comments