Makumbusho ya kitaifa kwa ustaarabu wa kimisri yakarbisha kura ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono siku ya 5 Septemba ijayo

Kura ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wakubwa ,inayopangwa kuifanyawa nchini Misri mwezi wa Januari ijayo , imepangwa kufanyika siku ya 5 Septemba ijayo katika makumbusho ya Ustaarabu ili kuhudhuria wahusika wakuu na wawakilishi wa timu zinazoshirki .


Ashraf Sobhy, waziri wa vijana na michezo anafuata maandalizi ya kamati inayoandaliwa kwa sherehe ya kura daima kwa kufanyawa vikao  ili kutokea kura kwa sura nzuri inafaa jina na ukubwa wa Misri .


Ashraf Sobhy alisema "lengo letu ni kutoa kazi nzuri zaidi na kazi ya timu yetu itakuwa juu  zaidi ,ili kuakisi sura ya kweli kwa Misri kama nchi za kiafrika ,na tupo tayari ili kukarbisha tukio lote la kimichezo kwa kufikia maonesho rasmi kutoka shirkisho la kiafrika" .


Waziri wa vijana na michezo alisistiza kuna ushirkiano na mashirka ,wizara tofauti ili kuandaa michuano kwa umbo linalofaa na kupaswa kutekekeza hatua zote za tahdhari na kinga ili kuhifadhi  afya na usalama wa timu na watu wote .


Shirkisho la kimtaifa la mpira wa mikono limeamua kutoa kwa nchi mbili  za Polanda na Urusi kadi ili kushiriki katika michuano ya dunia ambao Misri inaikarbisha mwaka  wa 2021 ,ili kufikia idadi ya timu zinazoshiriki katika michuano timu 30 ,na kutoka Afrika hushiriki, Misri nchi inayokaribisha na Tunisia ,Morocco  ,Algeria ,Angola ,Cape Verde, na Jamhuri ya Congo ya kidemokrasia ,na kutoka bara la Asia nchi zote za Bahrain ,Qatr ,Japan ,Korea ya kusini zinashirki ,na kutoka Ulaya nchi za Austria ,Belarusi ,Koratie ,Ufransa ,Uswidi pamoja na Ujerumani ,Hungary ,iceland ,Norway ,Ureno ,Solevenia na Uhaspania zinashirki .


Kutoka Marekani ya kusini na kati hushiriki timu za Arajentina ,Brazil ,Urugway na kadi za wild card kwa polanda na Urusi .


Michuano ya kombe la dunia kwa wakubwa kwa mpira wa mikono wa wanaume inazingatia michuano mikubwa zaidi  ambapo Misri inaikarbisha mwaka ujao kwa ushiriki nchi 32 ulimwenguni kote ,mashabiki wanatumai kuwa Misri inapata medali ya kidhahabu wakati ambapo  uhamsishaji uliotolewa na wachezaji vijana  kwa mashabiki kwa kupatia lakabu ya kombe la dunia la mwisho huko Macedonia .

Comments