Mwaka uliopita| Mshiriki wa Udhamini wa Nasser toka Afrika Kusini Vuyolethu

Sibiya alifanya mkutano mzuri sana pamoja na Meya wa eneo lake pale Bwana Cnllr Winnie Nhlabani , Mkurugenzi mkuu, na Bwana Vusi Masuku mnamo matembezi mazuri ya robo ya tatu toka sherehe ya Rais mkale Nelson Mandela kwa kichwa cha:' inawezekana,naweza kuifanya".

Na Sibiya alionyesha aliyoyafunza mnamo Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika ,unaoitwa kwa jina la kiongozi aliyekufa "mkale sana" Gamal Abd El Nasser" uliofanyika pale mjini Kairo katika kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019.

Sibiya alisema kwamba kuwepo kwake ndani ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi 2019 kulikuwa neema kubwa sana kwake na jaribio kubwa na lenye faida kubwa sana kwake,alihudhuria mihadhara mengi sana na alifanya mikutano mengi pamoja na maprofesa na wenzake wengine kuhusu harakati za kiuchumi za kisasa , pia alijifunza njia zinazoelekea mafanikio na kutatua changamoto zote zinazokabili mashirika barani Afrika.

Sibiya alisema kwamba mafunzo hayo yalimfundisha njia za kuchukua maamuzi ya kutekleza kazini , kushirikiana,na kufahamu nukta za nguvu na udhaifu kwao kama ni makada.

na alisema kwamba kutambulisha dhana ya Makada nchini Misri , taasisi, na Taasisi za kijamii kulikuwa upande mwengine katika jaribio lile, pia alitembelea shirikia kuu la kiserikali "Senima ya ELHANAGER", Wizara ya kilimo ya kimisri, na EMPC, na hayo yote ni kama mfano tu siyo mahali pote.

Sibiya alisema kwamba kuzungumza pamoja na wafundi wenye mafanikio na kujua jaribio lao kulikuwa hadithi nzuri sana, alijifunza mambo kadhaa katika Uzalishaji na Kilimo,na aliwahi kwamba ana uwezo wa kusaidia kijiji cha UPHONGOLO,na serikali ya Afrika Kusini.

Meya wa sasa anafurahi sana kwa Udhamini wa Nasser pia anahisi Fahari kwa Vuyolethu kwa kuiwakilisha UPHONGOLO

Comments