Shirkisho la kiafrika latangaza wakati na nyanja za Konfedralia

Kamati ya dharura kwa shirkisho la kiafrika kwa mpira wa miguu (CAF ) ilionyesha mwafaka  wake wa mpango wa kamati ya klabu na mashindano ili kukamlisha michuano ya kombe la shirkisho la kiafrika (Konfedralia ),baada ya kuacha katika msimu wa kisasa kwa sababu ya janga la Corona .


Pia inaamua kufanyika nusu  fainali ya Konfedralia nchini Morocco ,na Pyramids  El_ Masry inacheza na Horia Elgheni mnamo siku ya 22  Septemba ijayo kwenye uwanja wa mpira wa (Mohamed Al khames ) huko nyumba nyeupe "Aldar Albaidaa" .


Pia Hassania Agadir na Nahadt Borkan za Morocco hukutana pamoja mnamo siku ile ile katika uwanja wa mpira wa ( mwana mfalme Abdallah ) mjini mkuu Rabat .


Mechi ya mwisho inafanyikwa tarehe 27  Septemba ijayo katika uwanja wa mpira wa (mwana mfalme Abadallah ) mjini Rabat ,na mechi zinachezwa bila ya mashabiki .

Comments