Misri iko kwenye kundi la kwanza la michuano ya dunia kwa wachezaji wa kike wa mpira wa vinyoya"

Kura ya michuano ya dunia kwa makundi ya mpira wa vinyoya ilipelekea timu yetu ya kitaifa ya kwanza  kwa wanawake iwe katika kundi la kwanza linalojumuisha  timu za " Uhispania , Taiwani na Japani ".


Na michuano itafanyikwa kuanzia tarehe 3 mpaka tarehe 10 Oktoba ijayo nchini Denmark.


" Mafarao" walifikia michuano ya dunia baada ya kupata kwao medali ya dhahabu ya michuano ya kiafrika iliyopita  iliyofanyiwa mjini Kairo Februari iliyopita .


Orodha ya timu yetu ya kitaifa  kwa wanawake inajumuisha Haida Hossny , Doha Hany, Nour  Yossry , Gana Ashraf , Hana Zaher na Rahma Muhammed .

Comments