Waziri wa michezo : Kombe la dunia la mpira wa mikono ni tukio la kwanza la kimataifa linalotangazwa kutoka kwa Mji mkuu wa kiutawala

Dokta Ashraf sobhy , waziri wa vijana na michezo , alitangaza utayari wa Mji mkuu mpya wa kiutawala wa kukaribisha mashindano ya kombe la dunia la mpira wa mikono yatakayofanyika Januari ijayo , ambapo shughuli za ujenzi ndani yake zilimalizika kwa  98% , wakati ambapo kumbi zingine nazo ni mchanganyiko wa kumbi za uwanja wa Kairo , Borg Al Arab na 6 Oktoba zilimalizika kwa 80% , akielezea kwamba kumbi nne zina kumbi mbili zinajumuisha viti elfu 34 , nalo ni ongezeko jipya kwa majengo ya kimisri ya kimchezo ,  zinazosaidia kukaribisha mashindano ya kimataifa pamoja na ujuzi na majengo .


Na Sobhy  katika matangazo ya redio, aliongeza kwamba mji mkuu wa kiutawala upo tayari kukaribisha kombe la dunia la mpira wa mikono na  tukio la kwanza la kimataifa linalotangazwa kutoka kwa 

Mji mkuu wa kiutawala litakuwa kombe la dunia la mpira wa mikono ikiwa litafanyika katika wakati wake , akielezea kwamba kura itafanyika katika tarehe  5, Septemba katika makumbusho ya Ustaarabu  kwa ushiriki kwa nchi 34 duniani na itaonekana kwa sura inayofaa jina la Misri .

Comments