Waziri wa michezo ashuhudia mechi za kwanza za ligi kuu ya kimisri baada ya kuianzisha

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alifikia uwanja wa mpira wa Borg Al-Arab mkoani Aleskandaria ili kuhudhuria mechi ya Alzamalak na Almasri miongoni mwa mashindano ya michuano ya ligi kuu kwa mpira wa miguu ,hii katika mechi ya kwanza katika ligi baada ya kuianzisha tena kutoka kuacha kwa sababu ya mlipuko wa virusi vipya vya Corona .


Mashindano ya ligi kuu ya kimisri kwa mpira wa miguu yanarudi kwa mujibu wa hatua na hatua  za tahadhari   ,kufutana na mwongozo uliotolewa na Wizara ya vijana na michezo kuhusu kurudi kwa harakati ya kimchezo kwa mashirkisho tofauti ya kimchezo ,baada ya kumaliza vipimo vyote na hatua za kimatibabu kwa wachezaji na vyombo vya kiufundi na kiidara ili kusisitizia usalama wao ,kuhifadhi afya yao .


Waziri wa vijana na michezo alihakikisha  hatua zote za kitahadhari zinazofuata kabla ya uzinduzi wa mechi ya Alzamalak na Almasri kiasi kwamba kipimo cha joto ,kutakasa  uwanja wa mpira na maeneo yote ambapo wachezaji wanapokuwepo ,na msimamzi wa kimatibabu  ili kufuata kutekeleza hatua na masharti yote ya kitahadhari .
Dokta Ashraf Sobhy alisistizia kufuata na uratibu na mashirkisho ya kimichezo kuhusu kurudi mashindano tofauti kufutana na masharti ya kitahadhari na hatua za kutekeleza ambazo zimeshwahi kuzitangaza , akiashiria kuwa usalama na afya ya wachezaji ambayo wizara na mashirkisho yanaziangalia vyema ,imeainisha maendeleo yote ,na kuchukua hatua za haraka wakati wa kuonyesha kesi chanya chenye maradhi hii .Waziri wa vijana na  michezo aliashiria kwa mafanikio katika kurudi harakati na mashindano tofauti ya kimichezo kwa ushirikiano na kamati ya kiolompiki , mashirikisho ,klabu na vituo vya vijana katika mraba wa kutekeleza mpango wa nchi ili kupambana na virusi vipya vya Corona kwa mujibu wa hatua za kitahadhari na kinga zinazoshikilia.

Comments