Waziri wa vijana na michezo ashuhudia uzinduzi wa sherehe ya Olimipiki ya mtoto mmisri kwenye kituo cha kiolompiki huko eneo la El Maadi

Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy alishuhudia uzinduzi wa sherehe ya Olimpiki ya mtoto mmisri katika toleo lake la pili katika mikoa yote ya Jamhuri ,kupitia mitandao ya kijamii kufutana na hatua za kitahadhari zinazofuatiliwa ili kupambana na Virusi vya Corona ,kwenye kituo cha kiolompiki huko eneo la El Maadi ,kwa mahudhurio ya wasaidizi wa Waziri ,Japo la Waheshimiwa wakilishi wa Wizara ,wakurgunzi na wawakilishi wa Wizara katika vituo vya wizara ya vijana na michezo kwenye mikoa yote .


Sherehe ilianza kwa heshima ya kijamhuri na kuonesha filamu kuhusu vitu vilivyotokea mnamo mwaka uliyopita kwa matukio ya Olimpiki ,kueleza kwa matukio ya mwaka wa kisasa ,kuonesha filamu kwa taratibu za kutekeleza sherehe kwenye mikoa yote ,na inaifuata taratibu za kutekeleza sherehe za huko mjini Kairo na Giza .


Mwanzoni mwa hotuba yake ,Sobhy aliashiria  jukumu la taasisi tofauti za kijamii katika ukuaji  sahihi kwa mtoto ,pamoja na jukumu la michezo katika malezi ya nguvu na vipindi vya kiafya ,na Olimpiki ni nafasi ya kupata watoto vipawa vya kimisingi  vinavyomsaidia kwa uongozi tangu udogo na kuunda watu wanaokuja ,na mwenye afya na mwili na jambo hili michezo inalifanya ,akisistiza juu ya kuunda mashindano na tuzo za kifedha zinapewa motisha nzuri kwa mtoto na kutokeza mabingwa na viongozi wa siku za usoni .


Waziri huyo, Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa kufanywa kwa kikao cha kiolompiki kwa mtoto mmisri kunalenga kwa kuunda watu wapya wanaoweza kushikilia jukumu na kucheza michezo kama mtindo wa maisha ,kuweka roho ya ujuzi kati ya washiriki kutoka mikoa yote  inayokuja miongoni mwa mkakati wa kujenga mtu mmisri, uliozinduliwa na  Raisi Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri.


Waziri huyo aliashiria kuwa uongozi wa kisiasa unawazingatia watoto wamisri na kujenga wezo zao vyema miongoni mwa tazamo la Misri mnamo mwaka 2030 ,pamoja na Olimpiki ya mtoto mmisri inazingatia mradi wa kitaifa kwa wachipukizi  na vijana wa Misri, pia unategemea sehemu mbili , ya kwanza ni kuiga michezo na kuinua kiwango cha afya ya watoto wa Misri kupitia kucheza.


Sobhy alielezea kuwa mashindano ya Olimpiki ya msimu wa pili yanashuhudia ushiriki wa wachipukizi wa kiume na kike elfu 60 na mia 702  kutoka vituo vya vijana na malezi na elimu ,vyuo vya Azhar na taasisi maalum .


Awamu za mwaka kutoka mwaka 12 mpaka 15 zinashiriki katika mashindano ,khomasi ya mpira wa miguu ،mpira wa kikapu ,mpira wa vinyoya , Tenisi ya meza kwa binafsi na watu wawili ,michezo ya nguvu ,kukimbia mita 100 ,kuruka kwa muda mrefu ,kupiga risasi ,Karate,Taikondo na hii kwa jinsia mbili ,pia mashindano ya mpira wa mikono kwa wanaume tu yalifanyawa ,hii katika mashirika ya vijana na kimichezo  kwenye mikoa yote ya Jamhuri .


Washindi wanachukua tuzo za kifedha kwa thamani Paundi za kimisi elfu 500 pamoja na washiriki wote wanachukua mavazi ya ushiriki katika kiwango cha juu na mikoa mitatu bora zaidi ya ushiriki katika olimpiki ya mtoto mmisri itachukua  tuzo za kifedha .


Comments