Waziri wa michezo ashikilia kamati ya juu kwa michezo ya wanawake

Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo alikubali  kushikilia kamati ya juu kwa michezo ya wanawake ili kuweka mipango na njia inayolenga kwa kuboresha michezo ya wanawake ,kupanuka katika kuenea kwake katika Jamhuri ,na kumwezesha mwanamke katika mabaraza ya idara za taasisi tofauti za kimchezo. 


kamati  ilianza kazi yake ya kwanza kwa kuelekea kwa mkoa wa Aleskandaria ili kufanya ziara ya mji kwa miradi ya kuboresha maeneo mawili Almhmodia na Albashir ambayo Rais Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri aliyafungua ,kiasi kwamba aliwaomba wajumbe wa kamati kwa kutekeleza tamsha la kimchezo kwa ushirikiano pamoja na kamati ya kiolompiki na baraza la kitaifa kwa mwanamke ,pia kamati ilishiriki katika matukio ya siku ya kimchezo  iliyotekelezwa na Wizara ya vijana na michezo mjini AlAlmen .

Dokta Ashraf Sobhy alisistizia umakini wa wizara katika faili ya kuboresha michezo ya wanawake katika Jamhuri yote kufuata na maagizo ya uongozi wa kisiasa kwa kupanuka msingi wa kucheza michezo ,kuhamsisha wananchi kwa kucheza michezo ,kuinua viwango vya  mwili wa kimchezo ili michezo iwe mwenendo wa maisha kwa mwananchi wamisri ,akiashiria kuwa kamati ya juu kwa michezo ya wanawake nchini Misri ,inafanyawa hivi sasa kuchukuliwa hatua za kiutendaji ili kukuza Shirikisho la tofauti kwa mpira wa wanawake .


Waziri huyo aliongeza kuwa kamati inashughulika kwa kujadili vikwazo vinakabili michezo ya wanawake ,na kuweka masuluhisho yanayopendekza kwake , kuzingatia kwa kutekeleza kampani za uhamsishaji katika mahali pa mbali kuhusu umuhimu wa kucheza mwanamke wa michezo ،kupendekza matamsha tofauti ya kimchezo ili kupanuka msingi wa kucheza michezo ,pamoja na kufanya masomo yanayohusika kwa michezo ya mwanamke inayolenga kuongezeka idadi yake kama kocha ,mchezaji, refa na mtawala ,kuweka programu na mpango wa kazi ili kupambana na changamoto ambazo zinapambana mwanamke katika uwanja wa kimchezo .


Uamuzi ulijumuisha kuweka uongozi wa kamati kwa Dokta Maya Morsi mwenyekiti wa baraza la kitaifa kwa mwanamke ,na Dokta Sonia Donia mwenyekiti wa idara  kuu kwa maendeleo ya kimchezo katika Wizara atakuwa kama mkurgunzi wa kiutendaji ,pia ujumbe wa  kamati unajumuisha Dokta Sahar Abd Alhak mjumbe wa shirikisho la Soka ,Dokta Miravet Hasanin mwenyekiti wa kamati ya mwanamke katika kamati ya kiolompiki ,Mona Ameen mjumbe wa shirkisho la soka ,Dokta Ghada Gamal Eldin Mkurugenzi mkuu wa utawala wa umma kwa msingi wa kitaifa katika wizara ,Dokta Shimaa Abo Abla kwa idara ya kati kwa masuala ya waziri , Mkurugenzi wa Shirikisho la kiafrika kwa mpira wa wavu ,mjumbe wa kamati ya uboreshaji katika Shirikisho la kimtaifa na mjumbe wa shirikisho la kimisri kwa michezo ya nguvu .

Comments