Waziri wa michezo afuata na kamati iandaayo maandalizi ya michuano ya dunia kwa mpira wa mikono

Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy alikutana  na kamati iandaayo michuano ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono ,hii katika mraba wa mikutano ya kila mwaka inayofanyikwa na Waziri katika kamati iandaayo na hii kwa mahudhurio ya Mhandisi wa Heshaim Nasr Mwenyekiti wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa mikono , Mwenyekiti wa kamati iandaayo , Kocha Hussien Labib Mkurgunzi wa kamati iandaayo  michuano ,Dokta Ahmed ElShiekh Mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano ya kiserkali na wakuu wa kamati husika kwa michuano .

Mkutano ulijumuisha kufuata maandalizi yanayoendelea juu ya viwango vyote vya kuanzisha na kuboresha ,kuandaa , kupanuka na shughuli za mwisho zinazohusiana na kumbi zilizofunikiwa ,na kumbi za mazoezi kwa timu zinazoshiriki katika michuano .

Kocha Hussien Labib, wakati wa mkutano  alionesha  vipande vya kuandaa na kifedha vinavyohusiana na michuano ya kombe la dunia kwa mikono na itaamuliwa kukarbishwa na Misri mnamo 2021 .

Pia mkutano ulijumuisha maonesho ya kamati iandaayo sura maalumu kwa sherehe mbili za kufunguliwa na fainali ya michuano na matukio ya mechi. 

Waziri huyo, Dokta Ashraf Sobhy  alisistiza kumaliza kazi zote katika wakati wake maalumu kwa utaratibu na shirika la kiuhandisi kwa vikosi vya kijeshi .

Comments