FIFA yatoa ujumbe kwa Ghada Wali:Bahati nzuri kwa shati namba 10

Shirikisho la kimatiafa la Soka (FIFA) limepelekea ujumbe kwa Ghada Wali, Mkurugenzi mtendaji wa Ofisi ya Umoja wa mataifa mhusika wa Madawa ya kulevya na Uhalifu huko Viena,na Waziri  wa zamani wa Mshikamano wa kijamii wa kimisri.


 FIFA imechapisha chapisho kwenye twitter  picha kwa Jiani Anfantio Rais wa Shirikisho pamoja na Ghada wali na imeandika,bahati nzuri kwa shati  namba 10.


 Jiani Anfantio ametoa saini katika siku ya jumatatu  uliopita mkataba wa ushirikiano na Ghada wali kwa kumalizika Ufisadi na Uhalifu katika michezo.


Na pande mbili zimekabiliana kufanya kazi pamoja na kushirikiana na Mashirikisho ya kimataifa, taasisi za kikanda,ile kupambana na Ufisadi na kulinda vijana na wachipukizi,kuhifadhi mchezo na kuongeza kujihusisha mwanamke na kukubali kuhamisisha wachezaji wenye ushawishi zaidi kwa vijana nje na ndani pia ili kutimiza jukumu la kijamii la kimaendeleo kama mfano bora kwa wachipukizi.

Comments