Wizara ya Michezo yandaa mashindano ya mbio katika hifadhi ya Degela na ushiriki wa mabalozi wa Ufaransa na Uswizi

 Wizara ya Vijana na Michezo ikiwakilishwa na idara kuu ya Utalii wa kimichezo iliandaa mashindano ya mbio katika eneo la hifadhi ya Wadi Degla huko Maadi,  inayokuja katika matukio yaliyoandaliwa na idara kuu kwa Utalii na Matukio ya kimchezo kwenye Wizara ya Vijana na Michezo.


 Ambapo mashindano hayo yalijumuisha mbio 3 za kukimbia, kilomita 21, kilomita 10, na kilomita 5, kwa ushirkiano na Shirikisho la kimisri kwa michezo ya nguvu zilizofanyikwa ma washiriki 400.


  Andre Baran, Balozi wa Ufaransa nchini Misri, Paul Garnier, Balozi wa Uswizi nchini Misri, Dokta Amr Al-Haddad,  Msaidizi wa Waziri wa Vijana na Michezo kwa Maendeleo ya Michezo, akiwakilisha Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, Ahmed Abd El Khalek, Mkurugenzi Mkuu wa Utalii wa Michezo, pamoja na mataifa 27 kutoka jamii za kigeni walihudhuria mashindano.

Comments