Klabu ya Al_Ahly yapokea ujumbe wa kitanzania wa Simba

Jumatatu asubuhi, Al-Ahly  kwenye makao makuu  yake huko Aljazira,imepokea ujumbe wa klabu ya kitanzania ya Simba uliojumuisha(Barbara Gonzaliz) Mkuu Mtendaji na (Malomo Irik) mwanchama katika baraza la uongozi, katika ziara rasmi ili kupata faida kutoka ujuzi wa Al-Ahly katika nyanja zote za kimechezo, kimasoko,  habari na vyombo vya habari na kwa kuimarisha mchango mkuu wa Al_Ahly katika kuhimiza klabu ndugu zote za kiafrika.


Na wakati wa ziara ya ujumbe huo, Hanan Alzini  mkurugenzi wa ruhusa  na kanuni katika klabu ameambatana nao,ili kutembelea majengo yote  na michuano ya kihistoria ya Al_Ahly  pamoja na uwanja wa Al_Tetsh, kumbi mbili za Amiri Abd Allah  Al_Fisel na Alshuhaada na mkusanyiko wa bwawa la kuogelea vile vile umekamili matembezi yake mnamo leo Alasiri katika tawi la klabu huko mji wa Nasr.

Comments