Mkutano wa tamsha la uvumbuzi, msimu wa tisa "Kamati ya uvumbuzi wa kielimu"

Kamati ya uvumbuzi wa kielimu imefanyika mkutano kwa kuweka masharti ya usuluhisho katika tamsha hili la Ibdaa la msimu wa tisa , kuandaa kuanzisha tamsha mwanzoni wa marudio ya masomo 2020/2021,na mambo hayo chini ya uangalifu wa Waziri wa vijana na michezo.


 Idara kuu ya programu za kiutamduni na kazi za kujitoa  imefanyika mkutano pia,na tume ya idara hii inajumuisha:


 Dokta Mohamed Tantawi: Mkurugenzi wa programu za kuhimiza elimu,kuvumbua na Ujasiriamali....chuo cha utafiti wa kielimu na kiteknolojia.


 Dokta Mohamed Algamry: Mkuu wa tafiti za kutumika katika chuo cha kiarabu kwa Sayansi, Teknolojia na Usafirishaji baharini.


 Mhandisi Mahmod Aboud: Mkuu wa IEEE TEMS katika mashariki ya kati na kaskazini ya Afrika na Mkuu  mtendaji katika kambuni ya uvumbuzi wa kimataifa na Ujasiriamali.


 Mhandisi Kamal Tman: IoT Solutions Lead_ ukongozi wa ufumbuzi wa mtandaoni  kwa Vodafone Misri.


 Mtusubiri mnamo siku zijazo  kwa kutangaza masharti ya usuluhishi kwa kila sekta na jinsi ya kujiunga kwa tamsha.

Comments