Waziri wa vijana na michezo kama Naibu wa Waziri Mkuu afungua Olimpiki ya mtoto mmisri


Kama Naibu wa Dokta Mustafa Madbuly, Waziri Mkuu , Waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy ,jioni ya Jumatatu ,Oktoba 12, 2020 alifungua Olimpiki ya mtoto mmisri ,katika kituo cha kiolimpiki huko El Maadi  inayoandaliwa na Wizara chini ya kujali kwa Rais Abd El-Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri ,kati ya mashindano makubwa katika mikao yote ya Jamhuri ,mnamo muda uliopita ,na mwimbaji Hesham Abas aliimba katika sherehe .


Pia wasaidizi wa Waziri ,wenyekiti wa idara kuu katika Wizara ,japo la viongozi wa Wizara ,makurugenzi ya vijana na michezo mikoani ,mchezaji wa Karate Giena Farouk kama mchezaji wa kwanza wa kimisri ,kiarabu na kiafrika kufikia Olimpiki ya Tokyo, na mchezaji Samar Hamdy wote walihudhuria ufunguzi .


Ufunguzi ulishuhudia maonesho ya sanaa na kimchezo na foleni ya maonesho kwa timu iliyoshiriki vituo vya vijana wa Smoha ,Elshlalat ,Kafr Thrms ,Mit Okbh ,Giza ,Elmshabk ,Bor Foad na Elanfoshi ,kwa upande wa kifungu cha nyimbo kwa Mwimbaji Hesham Abas anatoa nyimbo za furaha na Misri inawasalimia  na njia sahihi ,pamoja na kuinua bendera ya kiolimpiki ,sehemu ya mchezaji na kocha ,kuhamsisha na wimbo maalum unaohusiana na michuano .


Dokta Ashraf Sobhy alitoa salama na heshima za Waziri Mkuu kwa wanaohudhuria na washindani ,akisistiza kuwa harakati na mipango ya Wizara inafutana na mtazamo wa uongozi wa kisiasa chini ya Rais Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri kwa lengo la kukabiliana , kuimarisha michezo kwa tabia nzuri , uaminifu kwa nchi na kupambana na mtu yeyote anayetoa picha isiyo nzuri kuhusu Misri kupitia vijana wa Misri ,pamoja na Olimpiki ya mtoto mmisri ni kuiga kwa kikao cha michezo ya kiolimpiki .


Waziri huyo aliashiria  ushiriki wa  elfu 68 vijana wadogo kutoka mikao tofauti na ilifikia kwa washindani 980 katika harakati kadhaa na michezo .


Waziri huyo amezindua Olimpiki ya mtoto mnamo Agosti iliyopita kwenye kituo cha kiolimpiki huko El Maadi na kuifuata uhamsishaji katika mikao tofauti ,kwa ushiriki wa idara kuu kwa vijana ,idara ya kati kwa maendeleo ya kimchezo na kwa mipango ya kiutamaduni na kujitolea , makurugenzi ya vijana na kimchezo katika mikao ,ambapo ndani ya msimu wake wa pili hushiriki  anashirki katika wachezaji wadogo elfu 67 .


Dokta Adaa El Dory, Mwenyekiti wa idara kuu kwa vijana alitoa Shukrani kwa washiriki wote wa mafanikio kutoka vituo vya vijana na michezo katika mikao na wafanyikazi katika Wizara .


Michezo iliyoshinda na iliyofikia ilikuja huko mikoa ya  Elmnofiq ,Dimiat ,Esmaelea ,Sohag , Aleskandaria ,Luxor ,Qalupia na Giza pamoja na michezo ya Karate ,Taikondo ,mpira wa wavu ,mpira wa kikapu , Tenisi ya meza ,michezo ya nguvu ,piga risasi , Soka ,mpira wa mikono na michezo mingine .

Comments