Waziri wa Michezo : Msaada wote kwa Al-Ahly na Zamalek kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Michezo na Vijana, alithibitisha kwamba Wizara hiyo itatoa msaada wote kwa klabu za Al-Ahly na Zamalek misingi ya mpira wa miguu wa Misri katika mechi zao zijazo za Afrika kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika, akiwatakia

mafanikio akisema : " Nsaada  wote kwa misingi ya mpira wa miguu wa Misri, pamoja nao na tunawatakia mafanikio ".


Dokta Ashraf Sobhy alisema : Tunawaunga mkono Al-Ahly na Zamalek kwa sababu wako kama timu ya kitaifa, wanawakilisha Misri, kwa hivyo kutakuwa na mawasiliano na klabu hizo mbili, na kujibu mahitaji yao yote  kwenye mashindano ya Afrika.


Zamalek itakutana na Al- Raja Al-Maghribiu, mnamo Oktoba 18,24 zijazo katika nusu fainali ya mashindano ya Afrika, wakati Al-Ahly itakutana na Wydad ya Al-Maghribiu katika nusu fainali ya ligi ya mabingwa wa Afrika, mechi ya kwenda itakapofanyika Oktoba 17 huko Al-Daar Al-Bayda na mechi ya kurudi itafanyika mnamo Oktoba 23 mjini Kairo.


Timu ya Al-Ahly ilijikatia nafasi yake katika nusu fainali ya ligi ya mabingwa wa Afrika baada ya kufunga sare dhidi ya Sun Downs na bao sawa katika mechi iliyofanyika kati yao kwenye uwanja wa Lucas Moriby, kwa hivyo Al-Ahmar iliamua kufuzu baada ya kushinda katika jumla ya mechi za kuenda na kurudi kwa alama ya 3/1, Al-Ahly alilipiza kisasi Sun Downs, iliyoitoa nje ya toleo la zamani kwenye mashindano yale yale na kutoka duru ile ile.


Zamalek ilifikia na kushika haraka kadi ya kufikia  raundi ya nne kwa ligi ya mabingwa wa Afrika kwa mara ya kumi katika historia yake, baada ya kushinda mechi mbili dhidi ya timu ya Al-Taraji Al-Tuwnisi na alama ya 2/3, baada ya kushinda huko uwanja wa Kairo 1/3 na kushindwa kwenye uwanja wa Rades huko Tunisia 1/0 kwa bao lililofungwa na Belal Bin Saaha mnamo dakika ya 4 kupitia Penalti.

Comments