Waziri wa michezo aonesha taratibu za timu za kitaifa kwa mpira wa miguu na shirikisho la mpira

Dokta Ashraf Sobhy –Waziri wa vijana na michezo- kwenye diwani la Wizara, Jumamosi, alikutana na wajumbe wa kamati ya kitano iliyoandaliwa kwa usimamaizi wa shirikisho la kimisri la mpira wa miguu kwa kuongoza kwa Amr Al Ganaini, na kwa mahudhurio ya kocha Hossam El Badry –Kocha wa kiufundi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu, kocha Shawki Gharib –kiongozi wa kiufundi wa timu ya Olimpiki, kocha Rabie Yassin –kiongozi wa kiufundi wa timu ya vijana, idadi ya wafundi, na wasimamizi wanaohusisha vifaa vya kiufundi.


Mkutano huo umejadili maandalizi kuhusu timu tatu, makambi ya mazoezi yaliyohususisha kwao kwa kujiandaa mechi za kirafiki, na mashindano mbali, pamoja na maoni ya shirikisho la mpira kuhusu timu tatu mnamo kipindi kijacho.


Dokta Ashraf Sobhy alionesha kutoa msaada wote kwa timu za kitaifa kwa mpira wa miguu katika safari yake na mashindano tofauti, akiomba kusaidia na kuimarisha timu tatu za kitaifa mnamo kipindi hicho ili kuhakikisha malengo yanayotarajiwa kutoka kila kifaa cha ufundi, na hiyo inafuatiwa kwa awamu ya tathmini.


Waziri huyo alionesha matarajio yake kwa kushinda kwa timu zote za kitaifa kwa mpira wa miguu mnamo kipindi kijacho, kushinda changamoto zote, kufikia kushinda katika mashindano yao, na kuwafurahisha wamisri.


Amr Al Ganaini alionesha kujali kwa Shirikisho la mpira kwa kufanya mahitaji yote ya vifaa vya kiufundi vya timu za kitaifa , na kuunda mazingira mazuri kwao; ili kuhakikisha mafanikio kwa mpira wa miguu wa kimisri. Akitoa shukuru kwa Waziri wa vijana na michezo kwenye msaada wake wa daima kwa Shirikisho kwa ajili ya kuendeleza mpira wa miguu wa kimisri.

Comments