Waziri wa Michezo azindua awamu ya pili ya mpango wa siku 30 za Changamoto

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri  wa Vijana na Michezo alishuhudia mkutano mkubwa wa waandishi wa habari katika Kituo cha Elimu ya kiraia huko Al Jazera ili kuwasilisha maelezo ya toleo la pili la mpango wa  Siku 30 za Changamoto uliotekelezwa na na Usimamizi mkuu kwa Utalii na  Matukio ya Michezo kwenye Wizara hiyo kwa mahudhurio ya viongozi kadhaa wa Wizara hiyo.

Katika muktadha huo huo Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo alitoa wito kwa vijana wa Misri ili kushiriki katika  mpango wa Siku 30 kwa changamoto na kufanya mazoezi ya michezo kwa sababu ya umuhimu wake wa michezo na vijana kupitia kufanya mazoezi tofauti na kuimarisha Kinga.


Waziri wa Michezo alisisitiza kuwa Wizara inakusudia kuendelea na mpango wa siku 30 unaotoa changamoto kwa hatua zingine na sehemu zote za jamii zinashiriki, kuukuza mradi na kuuuza kupitia shughuli kadhaa.


Kwa upande wake, mkutano huo ulijumuisha kuheshimu kundi la washindi katika awamu ya kwanza ya mpango wa  Siku 30 Changamoto.


Wakati wa mkutano huo, mafanikio mashuhuri yalitolewa katika awamu ya kwanza ya mpango wa "Siku 30 za Changamoto za Michezo" ili kuhamasisha wanafamilia wa Misri ili kufanya mazoezi ya michezo.


Ikumbukwe kuwa toleo la kwanza la Siku 30 za Changamoto lilitekelezwa Agosti iliyopita, na Wizara ya Vijana na Michezo iliweka kundi la michezo kwa vijana ili kushiriki katika "Changamoto kwa siku 30" iliyojumuisha kukimbia - kutembea - pikipiki - kayak - kofia za mikono kwa watu walemavu" Viti vya magurudumu tu"


Comments