"FIFA" yachagua mmisri Yara Atef kwa usuluhishi katika kombe la dunia kwa wanawake mnamo 2023

Kamati ya wasuluhishi katika Shirikisho la kimataifa kwa mpira wa miguu "FIFA" ,ilimchagua msuluhishi mmisri msadizi Yara Atef ,ili kushirki katika kusimamia mechi za kombe la dunia kwa wanawake mnamo 2023 linalopangwa  kulifanyawa nchini NewZelanda na Australia .

Kamati kuu ya wasuluhishi katika Shirikisho la kimisri kwa Soka chini ya uongozi wa Wageh Ahmed ,imeshikilia Yara Atef  miongoni mwa wasaidizi wa wasuluhishi na wenzake Mona Atallah ,Handai Hassan na Gamalet Ahmed .


Ikumbukwe kuwa ,msuliuhishi mmisri wa kimataifa Yara Atef inazingatiwa miongoni mwa wasuluhishi bora zaidi nchini Misri na bara la Afrika na kwepo kwake katika sherehe ya dunia itakuza hali ya usuluhishi wa kimisri .

Comments