Al Ahly yashinda na mabingwa wa Ulaya kwa jina la klabu la karne ya 21

 Jumatatu ,Baraza la Michezo la Dubai  lilitangaza toleo maalum la tuzo za " global Soccer"   zitatolewa kwa mchezaji , kocha   na klabu bora zaidi mnamo miongo miwili ya mwisho, na Muhamed Salah na Klabu ya Al Ahly ni miongoni mwa wagombea . 

  Washindi watajulikana mnamo Desemba 27 ijayo huko Dubai.


Na Tuzo ya "Global Soccer" mwaka huu ina tuzo maalum, basi itatangazwa mshindi wa toleo hilo maalum kwa mchezaji,klabu bora zaidi mnamo miongo miwili iliyopita kati ya 2001 hadi 2020.


Muhammed Salah anashindana na mabingwa wa mpira wa miguu juu ya tuzo la mchezaji bora zaidi mnamo miaka ishirini ya mwisho . 


 Ama klabu la Al-haly la Misri linashinda ili kupata jina la klabu bora zaidi mnamo karne ya 21 au miongo miwili ya mwisho nayo ni klabu ya kiarabu ya pekee iliyokuwepo kwenye orodha inayojumuisha klabu 8 . 


 Al-Ahly yashindana na  Real Madrid na Barshirona za Uhispania  na Manshester United na Reval ball za Uingereza  na Bayarn Munich ya Ujerumani , juventos ya italia na Paris San German ya Ufaransa .

Comments