Timu ya taifa ya Korea kusini

 

Kuelekea Misri 2021: kushika nafasi ya pili katika mashindano ya mataifa ya Asia(2020).

 

Ushiriki wawali: Korea kusini ilishiriki katika ushiriki 11 wa zamani katika mashindano ya ulimwengu, mafanikio mazuri yaliyohakikishwa na wakorea yalikuwa kushika nafasi ya nane 1997.

Lakabu: Wapiganji wa Taeguk.

Kocha: Il-koo Kang

 

Orodha ya wachezaji

 

 

No .

Majina ya wachezaji

98

Jaepil An

0

Seung-geon Baek

88

Junyoung Jang

17

Seungwon Jeon

23

Youngjae Jeon

21

Seonghyeon Jeong

32

Dong Hyun JO

83

Jungu Kang

69

Jiun Kim

7

Byeongcheol Kim

96

Daehyeon Kim

8

Hyeonwoo Kim

33

Jaesoon Kim

24

Jinyoung Kim

77

Myeongjong Kim

34

Taegwan Kim

97

Taeung Kim

26

Jaehu Kim

29

YoungGil Kim

50

Mingyu Kim

22

ByeongJu Lee

78

Changwoo Lee

16

Hosu Lee

12

Jun Hee Lee

86

Woo Hyuk Lee

27

Seungmin Lee

9

HyeokGyu Lee

13

Hyungsuk Oh

20

Juchan Oh

19

Jiwon Park

25

Jeawoo Song

25

Jeawoo Song

25

Jeawoo Song

1

Seung Hyun Won

10

Chanmin Yu

14

Myeonghan Yu

 

Timu ya taifa ya Korea ilikuwa tukio kubwa katika mwanzo wa toleo la mwisho kwa mashindano ya ulimwengu, yaliyofanyika mnamo 2019, nchini mwa Ujerumani na Denmark , ambapo timu ya taifa ya Korea ilishiriki kwa mara ya kwanza kama timu moja kutoka Korea kaskazini na kusini, baada ya mpango kutoka Shirikisho la kimataifa kwa mpira wa mikono kwa msaada wa kamati ya Olimpiki ya kimataifa na ryais wa kamati ya Olimpiki, na kuwa tukio kubwa lililovutiwa na wote, mwishoni timu ya taifa ya Korea ilipata nafasi ya 22.

 

Lakini, timu ya taifa ya Korea kusini ilionekana kwa Mara ya kwanza katika mashindano ya ulimwengu mnamo 1986 nchini Usiwizi na ilipata nafasi ya 12, na baada ya hivyo korea imepoteza mnamo miaka 2003, 2005,2015 na 2017 na wakorea wanatayari kuonekana mara huu kwa sura nzuri katika kombe la Misri.

      

Comments