Waziri wa michezo akagua mkusanyiko wa kumbi zinazofunikiwa kwenye uwanja wa Kairo kuandaa kwa kombe la mpira wa mikono


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alifanya ziara ya kukagua na kutafutia hatua za mwisho na maandalizi ya ukumbi uliofunikwa kwenye uwanja wa Kairo,kukaribisha sherehe ya ufunguzi wa Kombe la mpira wa mikono"Misri 2021".


 Waziri wa  michezo alikagua ukumbi wa wageni ,ukumbi mkuu ,ukumbi  namba 2 ,ukumbi namba 3,ukumbi namba  4,7 ,vyumba vya kubadilisha nguo ,uwanja wa mpira ,vyumba vya Marefa ,ukumbi wa Shirikisho la kimataifa kwa mpira wa mikono ,bafu la mvuke ,chumba cha kugundua kwa madawa ya kusisimua misuli ,kituo cha vyombo vya habari ,ukumbi wa mikutano ya vyombo vya habari ,akisifu kuandaa kwake kwa sura tofauti ,na teknolojia ya hali nzuri ,kufutana na mfumo unaozingatia kutenga kati ya watu wakati wa  Janga la Virusi vya Corona ,pia waziri alikagua njia kuu kwenye uwanja wa Kairo .


Sobhy alisifu  kazi nzuri yenye juhudi kubwa sana, kuweka shughuli za mwisho ili kupokea timu zinazoshirki katika michuano na kutokea kwa michuano kwa sura nzuri inayofaa jina na nafasi ya kimataifa ya Misri .


Dokta Ashraf Sobhy, wakati wa ziara ile alitazamia hatua za mwisho huko ukumbi uliofunikiwa ,hususan pamoja na kukarbia ufunguzi , akisisitiza kuwa kuna maelezo ya Rais Abd El Fatah El-Sisi ya kutekeleza taratibu zote zinahitajika ili kutokea michuano kwa sura bora zaidi sawa na Miundombinu na mpangalio ,au hata kutekeleza hatua za kitahadhari ili kupambana na Virusi vya Corona .


Waziri wa michezo alisisitiza dhraura ya kutekeleza hatua kali  za kitahadhari ,ikihifadhi afya na usalama wa washirki ,wageni , hadhira katika michuano  bora hii ya kimchezo .

Waziri huyo aliashiria kuwa ukumbi uliofunikiwa kwenye uwanja wa Kairo ,inapangwa kukaribisha mechi za timu ya Misri miongoni mwa mashindano ya michuano , wakati unajumuisha watazamaji 16200 ,baada ya kuinua ufanisi  ulioshuhudiwa kwa mkusanyiko wa kumbi .


Hiyo inakuja katika mraba wa ziara za kukagua zinazofanywa na Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo  kwa kumbi zinazokarbisha  michuano ,ili kuangalia maandalizi ya mwisho  ili kukarbisha Misri kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono  itakayoanza mnamo siku chache .

Comments