Ukumbi wa michezo katika mji mkuu mpya wa Kiutawala

 

Mojawapo ya Vituo vya michezo vya hivi karibuni vya Misri, kilijengwa mahususi  ili kukaribisha toleo la 27 la Michuano  ya Mpira wa Mikono ya Wanaume, Misri 2021.

 

Na ukumbi huo ambao  uko katika mji wa michezo kwenye mji mkuu mpya wa kiutawala mashariki mwa Kairo, kinaweza kujumuisha mashabiki 7500.

 

 Na ukumbi  ni sehemu ya mji kikamilifu wa michezo uliojengwa kwa gharama ya paundi bilioni 2.2, na unajumuisha kundi la  kumbi zilizofunikiwa, kundi la vidimbwi vya kuogelea, eneo la viwanja vya Mpira wa miguu wa pande tano na viwanja vya Tenisi,pamoja na vituo vingine vingi.

 

Ukumbi wa mji mkuu mpya wa Kiutawala ni mbali na kilomita 60 kutoka kwa Kairo, na  kilomita 60 kutoka mapumziko ya kiutalii ya Al Ain Sukhna, Kinachofanya mahali pake pa kipekee kabisa na hufanya  kuhamia  na kutoka ni rahisi kwa sababu ya kupatikana njia za usafirishaji.

Comments