Mmisri anafikia orodha ya mwisho ya Tuzo ya "Africans Rising"


Kijana Mmisri Hassan Ghazaly ameshafikia hatua za mwisho za Tuzo ya "African Rising Activism Award" baada ya kupita hatua kadhaa za kufikia tuzo hiyo miongoni mwa wahusika barani Afrika, Ghazaly ameteuliwa kulingana na juhudi na mafanikio yake katika uwanja wa shughuli za umma za kiafrika, pamoja na mipango na michango yake bora katika kujenga uwezo wa vijana waafrika wanaotarajiwa.


 Kuhusu tuzo:


Tuzo ya "Africans Rising Activism Award ni tuzo muhimu zaidi iliyozinduliwa kwa "Africans Rising movement"  mnamo 2020 kuonesha viongozi bora wa vijana kati ya mihimili muhimu katika jamii za Kiafrika.


Zaidi juu ya tuzo:


https://www.africans-rising.org/activismawards/


 Kuhusu wasifu wa washiriki:

https://africansrising.org/2020-africans-rising-activist-of-the-year-nominees/


Jinsi ya kupiga kura Katika hatua zifuatazo, mgombea anayeshinda huchaguliwa kupitia upigaji kura wa moja kwa moja kwenye tovuti ya tuzo, Upigaji kura utafungwa mnamo Februari 2,2021.


1- Bonyeza kwenye kiunga hiki https://buff.ly/38WTzsg


2- Kufika chini ya ukurasa na kubonyeza jina la mgombea, Hassan Ghazaly.


3- Kufikia mwishoni mwa ukurasa na kuandika jina , barua pepe na namba maalum ya simu katika sehemu zilizotengwa ili kuhakikisha uwazi wa kura.


4- Kubonyeza neno "kura".


Misri ni kijiji changu na Afrika ni nchi yangu.


Comments