Waziri wa Michezo awaheshimu washindi wa Mashindano ya Baiskeli ya Afrika


Dokta. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo ametoa hotuba ya kuwakaribisha washiriki wa mashindano hayo, huko eneo la El Khamaael, Mjini Oktoba, akiashiria kuwa Misri ikawa moja ya nchi bora ulimwenguni kwa kuvutia hafla za michezo za kimataifa, wakati wa kutekeleza hatua za tahadhari zaidi kuhakikisha kuwa hakuna mshiriki mmoja katika mashindano ya michezo awe na maambukizi yoyote.


Matokeo ya wanawake wa jumla chini ya miaka 23, yakaja kama ilivyo, Rwanda ikapata nafasi ya pili na ya tatu , na Afrika Kusini ilikuja katika nafasi ya kwanza, na wanaume wa jumla chini ya miaka 23, mwenye nafasi ya tatu  alikuwa Mrwanda, mwenye nafasi ya pili kutoka Algeria na mwenye nafasi ya kwanza kutoka Afrika Kusini, na matokeo ya wanawake wakubwa kwa jumla ;Nambia iilikuja nafasi ya tatu,nafasi ya pili na ya tatu pamoja na Afrika Kusini , na kwa wanaume wazima, Algeria iilikuja katika Nafasi ya tatu na nafasi ya pili ni na Afrika Kusini ilikuja katika nafasi ya kwanza .


Katika mbio mmoja, Mmisri Habiba Elioua alishinda nafasi ya pili, Shanti Oliver mchezaji wa Afrika Kusini alishika nafasi ya kwanza, na Nasreen Hawili mchezaji wa Algeria alishinda nafasi ya tatu.


Katika mbio za wachipukizi,  Etienne Twiziri kutoka Rwanda alishinda nafasi ya kwanza, kutoka Morroco Mohamed Naguib Sanbouli alishika nafasi ya pili, na kutoka Rwanda Samuel Niankoru alishika nafasi ya tatu, wakati wachezaji wawili wa Misri Abdullah Afifi na Abdel Rahman Fahim walikuja katika nafasi za tano na sita mfululizo.

Comments