Ujumbe wa Misri umeshereheka medali za upigaji makasia katika michezo ya kiafrika

Wachezaji wa upigaji makasia wamefuzu medali nne leo siku ya jumanne,

katika kikao cha michezo ya kiafrika yliyofanyika sasa nchini Morocco.kwa idadi ya jumla ya medali za fedha 3,na shaba 1 katika mbio wa mita 1000 kwa wanaume na wanawake.

Wachezaji wamefuzu medha ya kifedha ni Ahmed Abdelkhaleq-Daren Hegazy-Ahmed khaled na mchezaji wamefuzu medali ya shaba ni Mariam Abdelatef.

Mashindano ya upigaji wa makasia ya kikao cha kiafrika yamefanyika ziwani ya Elsad mjini Sala karibu na mji wa Rebat unaokaribisha kikao cha kiafrika.

Comments