Timu ya kitaifa ya Misri ya uendaji farasi" Ushujaa" kushinda medali ya fedha ya kikao cha michezo ya kiafrika .

Mohmed Tahr Ziada ni mchezaji wa timu ya kitaifa ya Misri kwa uendaji farasi "Ushujaa" alieleza furaha yake kwa kushinda kwa medali ya fedha pamoja na timu ya kikao cha michezo ya kiafrika kinachofanyika nchini Morocco ,sasa.

Ziada aliongeza kwamba yeye anahangaika kuhakiksha medali ya dhahabu peke yake katika nafasi ya "Umoja" akisistiza kwamba kuna msaada  mkubwa usio na kikomo na Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo na mhandisi Heshim Hatab ni mwenyekiti wa umoja wa Mchezo wa uendaji  farasi "Ushujaa" na kamati ya olimpiki ,na pia viongozi wa benki ya alahly ya Misri akiongezea Rawabet  ya kimichezo ndiyo mdhamini  wa kipekee kwangu .

 

Timu ya Misri ya uendaji  farasi ilikuwa kuongeza kwamba medali ya fedha katika mashindano ya timu kwa kuruka vizuizi kwa kikao cha michezo ya kiafrika kinaendelea nchini Moroco .

 

Timu ya Algiria ilishinda medali ya shaba  .

 

Timu ya kitaifa inajumuisha kama Mohamed Tahar Ziada ,Nial Nasar ,Mohamed Talat na Abd Elkadir Saed .

Comments