Misri inaivunja rekodi ya idadi ya medali za kidhahabu katika kikao cha michezo ya Kiafrika

Ujumbe wa Kimisri unaoshiriki katika kikao cha michezo ya Kiafrika namba ya 12, na inayofanyika nchini Morocco mnamo kipindi cha tarehe 19 hata 31, mwezi wa Agosti umeweza kuvunja rekodi maalum ya idadi ya medali za kidhahabu zinazohakikishwa kupitia michuano moja.

 Ujumbe wa Kimisri umeweza kushinda medali ya kidhahabu ya 101, licha ya rekodi ya zamani imebaki thabiti kwa muda wa karibu miaka 28, hususan tangu kikao cha michezo ya Kiafrika iliyoshikiliwa na Kairo, mwaka wa 1991.

 

Na kabla ya mwisho wa siku ya kabla ya siku ya mwisho ya kikao cha  michezo ya Kiafrika, wachezaji wa Kimisri wanaendelea uongozi wao kwenye jedwali kuu ya nafasi na wameshinda medali 270, miongoni mwa medali hizo, medali 101 za kidhahabu, medali 97 za kifedha na medali 72 za shaba.

Comments